TCC (Plc) YAADHIMISHA MIAKA 60 KWA MAFANIKIO MAKUBWA

TCC (Plc) inaadhimisha miaka 60 tangu tarehe 4 Desemba 2021- ni hatua kubwa kwa kampuni, wafanyakazi wake, washikadau na washirika. Ili kuadhimisha siku hii ya kihistoria, iliyozinduliwa miaka 60 iliyopita na si mwingine isipokuwa Mwaliumu Julius Nyerere siku chache tu kabla ya uhuru wa Tanzania, TCC (plc) iliandaa hafla kubwa mnamo Novemba 23, 2021 kupongeza